neither seem to be working. anyway of doing this besides one word at a time?
btw here is the text.
Nimeshindwa kukuelewa,kutokana na lugha yako pia jina lako ni geni kwangu. Haya mambo nafikili hayakuhusu wewe ingawa mwisho umesaini jina la Dada Fawzia ambaye namfahamu vema. Kwa kifupi huu mzigo haukuhusu na pia hauhusu police wala f.bi.kama wewe ni ndugu au rafiki ya Fawzia mwambie yeye mwenyewe aniandikie,kama hautaki basi sio lazima,lakini aseme kwa kauli yake na nafsi yake mwenyewe kuwa hauhitaji na yote yataisha,salama.